Matthew 5:40
Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if any man will sue thee at the law, and take away thy coat, let him have thy cloke also.
In Context
41Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.
Cross References
1 Corinthians 6:7Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyangʼanywa?