Mathayo 6:29
Lakini nawaambia, hata Solomoni katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo ya hayo maua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And yet I say unto you, That even Solomon in all his glory was not arrayed like one of these.
In Context
Cross References
1 Kings 10:4Malkia wa Sheba alipoona hekima yote ya Solomoni na jumba la kifalme alilokuwa amejenga,
2 Chronicles 9:20Vikombe vyote vya Mfalme Solomoni vya kunywea vilikuwa vya dhahabu na vyombo vyote vya nyumbani katika Jumba la Kifalme la Msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu safi. Hakukuwa na kitu kilichotengenezwa kwa fedha, kwa sababu fedha ilionekana ya thamani ndogo wakati wa Solomoni.
1 Peter 3:2kwa kuuona utakatifu na uchaji wa Mungu katika maisha yenu.