The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 6 › Mathayo 6:8

Mathayo 6:8

Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be not ye therefore like unto them: for your Father knoweth what things ye have need of, before ye ask him.

In Context

7Nanyi mnaposali msiseme maneno kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu. Kwa maana wao hudhani kwamba watasikiwa kwa sababu ya wingi wa maneno yao.

9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: 1 “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, 2 Jina lako litukuzwe. 1

Read all of Mathayo 6

Cross References

Psalms 38:9Ee Bwana, yote ninayoyaonea shauku 2 yako wazi mbele zako, 1 kutamani kwangu sana 2 hakufichiki mbele zako. 1

Matthew 6:32Watu wasiomjua Mungu ndio wanaoshindania hayo, lakini Baba yenu wa mbinguni anafahamu kuwa mnahitaji haya yote.

John 16:23Katika siku hiyo hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin nawaambia, kama mkimwomba Baba jambo lolote kwa jina langu, yeye atawapa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 6:7Mathayo 6Mathayo 6:9 →