Matthew 7:11
Ikiwa ninyi basi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka?
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
Job 15:16sembuse mwanadamu ambaye ni mwovu na mpotovu, 2 ambaye hunywa uovu kama anywavyo maji! 1
Psalms 85:12Naam, hakika Bwana atatoa kilicho chema, 2 nayo nchi yetu itazaa mavuno yake. 1
Psalms 86:15Lakini wewe, Ee Bwana, ni Mungu wa huruma na neema, 2 si mwepesi wa hasira, bali ni mwingi wa upendo na uaminifu. 1
Isaiah 49:15“Je, mama aweza kumsahau mtoto 2 aliyeko matitini mwake akinyonya, 1 wala asiwe na huruma 2 juu ya mtoto aliyemzaa? 1 Ingawa anaweza kusahau, 2 mimi sitakusahau wewe! 1