Matthew 7:26
Naye kila anayesikia haya maneno yangu wala asiyatende, ni kama mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.
Jeremiah 8:9Wenye hekima wataaibika, 2 watafadhaika na kunaswa. 1 Kwa kuwa wamelikataa neno la Bwana, 2 hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? 1
James 2:20Ewe mpumbavu! Je, wataka kujua kwamba imani bila matendo haifai kitu?