bible.software › Mathayo › Mathayo 7 › Mathayo 7:4
Mathayo 7:4
Au unawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Acha nitoe kibanzi kwenye jicho lako,’ wakati kuna boriti kwenye jicho lako mwenyewe?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or how wilt thou say to thy brother, Let me pull out the mote out of thine eye; and, behold, a beam is in thine own eye?
In Context
3“Mbona unatazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na wala huoni boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe?
5Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako.
Read all of Mathayo 7
Cross References
Matthew 23:24Ninyi viongozi vipofu, mnachuja kiroboto lakini mnameza ngamia!
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 7:4