Matthew 7:9
“Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or what man is there of you, whom if his son ask bread, will he give him a stone?
In Context
8Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.
10Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka?