Mathayo 8:17
Haya yalifanyika ili litimie lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: 1 “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu 2 na alichukua magonjwa yetu.” 1 Gharama Ya Kumfuata Yesu (Luka 9:57-62)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Yesu alipoona makutano mengi wamemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake wavuke mpaka ngʼambo ya ziwa.
Cross References
Genesis 22:6Abrahamu akachukua kuni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa, akamtwika Isaki mwanawe, yeye mwenyewe akachukua moto na kisu. Walipokuwa wakienda pamoja,
Matthew 1:22Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema:
Matthew 2:23akaenda akaishi katika mji ulioitwa Nazareti. Hivyo likawa limetimia neno lililonenwa na manabii, “Ataitwa Mnazarayo.”