Mathayo 8:20
Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Yesu na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.”
21Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
Cross References
Psalms 40:17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; 2 Bwana na anifikirie. 1 Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; 2 Ee Mungu wangu, usikawie.
Psalms 84:3Hata shomoro amejipatia makao, 2 mbayuwayu amejipatia kiota 2 mahali awezapo kuweka makinda yake: 1 mahali karibu na madhabahu yako, 2 Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mfalme wangu na Mungu wangu. 1
Psalms 109:22Maana mimi ni maskini na mhitaji, 2 moyo wangu umejeruhiwa ndani yangu. 1
Daniel 7:13“Katika maono yangu ya usiku nilitazama, na mbele yangu nikamwona anayefanana na mwanadamu, akija pamoja na mawingu ya mbinguni. Akamkaribia huyo Mzee wa Siku, na akaongozwa mbele zake.
Matthew 12:32Mtu yeyote atakayesema neno dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote anenaye neno dhidi ya Roho Mtakatifu hatasamehewa, iwe katika ulimwengu huu au katika ulimwengu ujao. 1 Mti Na Matunda Yake (Luka 6:43-45)
Matthew 16:13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?”