Matthew 8:28
Walipofika ngʼambo katika nchi ya Wagerasi, watu wawili waliopagawa na pepo wachafu walitoka makaburini nao wakakutana naye. Watu hawa walikuwa wakali mno kiasi kwamba hakuna mtu aliyeweza kupita njia ile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Wakapiga kelele, “Una nini nasi, Mwana wa Mungu? Umekuja hapa kututesa kabla ya wakati ulioamriwa?”
Cross References
Genesis 15:21Waamori, Wakanaani, Wagirgashi na Wayebusi.”
Judges 5:6“Katika siku za Shamgari mwana wa Anathi, 2 katika siku za Yaeli, 1 barabara kuu hazikuwa na watu; 2 wasafiri walipita njia za kando. 1
Mark 5:1Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.
Acts 10:38Jinsi Mungu alivyomtia Yesu wa Nazareti mafuta katika Roho Mtakatifu na jinsi alivyokwenda huku na huko akitenda mema na kuponya wote waliokuwa wameonewa na nguvu za ibilisi, kwa sababu Mungu alikuwa pamoja naye.