Mathayo 8:34
Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Yesu. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 16:4Samweli akafanya kile Bwana alichosema. Alipofika Bethlehemu, wazee wa mji wakatetemeka walipomlaki. Wakauliza, “Je, umekuja kwa amani?”
1 Kings 18:17Ahabu alipomwona Eliya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Job 22:17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
Mark 5:17Basi watu wakaanza kumwomba Yesu aondoke katika nchi yao.
Luke 8:28Alipomwona Yesu, alipiga kelele, akajitupa chini mbele yake na kusema kwa sauti kuu, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Nakuomba, usinitese!”
Acts 16:39Kwa hiyo wakaja wakawaomba msamaha, wakawatoa gerezani, wakawaomba waondoke katika ule mji.