bible.software › Mathayo › Mathayo 9 › Mathayo 9:17
Mathayo 9:17
Wala watu hawaweki divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Kama wakifanya hivyo, viriba vitapasuka nayo divai itamwagika, navyo viriba vitaharibika. Lakini divai mpya huwekwa kwenye viriba vipya, na hivyo divai na viriba huwa salama.” 1 Mwanamke Aponywa (Marko 5:21-43; Luka 8:40-56)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither do men put new wine into old bottles: else the bottles break, and the wine runneth out, and the bottles perish: but they put new wine into new bottles, and both are preserved.
In Context
16“Hakuna mtu anayeshonea kiraka kipya kwenye nguo iliyochakaa, kwa maana kile kiraka kitachanika kutoka kwenye hiyo nguo, nayo hiyo nguo itachanika zaidi.
18Yesu alipokuwa akiwaambia mambo haya, mara akaingia kiongozi wa sinagogi akapiga magoti mbele yake, akamwambia, “Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini njoo uweke mkono wako juu yake, naye atakuwa hai.”
Read all of Mathayo 9
Cross References
Job 32:19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, 2 kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 1
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 9:17