Matthew 9:32
Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As they went out, behold, they brought to him a dumb man possessed with a devil.
In Context
31Lakini wao wakaenda na kueneza habari zake katika eneo lile lote. 1 Yesu Amponya Mtu Bubu
Cross References
Matthew 12:22Kisha wakamletea mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, na alikuwa kipofu na bubu. Yesu akamponya, hata akaweza kusema na kuona.
Luke 11:14Basi Yesu alikuwa anamtoa pepo mchafu kutoka kwa mtu aliyekuwa bubu. Yule pepo mchafu alipomtoka yule mtu aliyekuwa bubu, akaanza kuongea, nao umati wa watu ukashangaa.