bible.software › Matthew › Matthew 9 › Matthew 9:7
Matthew 9:7
Yule mtu akasimama, akaenda nyumbani kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he arose, and departed to his house.
In Context
6Lakini, ili mpate kujua kwamba Mwana wa Adamu anayo mamlaka duniani kusamehe dhambi…” Ndipo akamwambia yule aliyepooza, “Inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.”
8Makutano walipoyaona haya, wakajawa na hofu ya Mungu, wakamtukuza Mungu ambaye alikuwa ametoa mamlaka kama haya kwa wanadamu. 1 Kuitwa Kwa Mathayo (Marko 2:13-17; Luka 5:27-32)
Read all of Matthew 9
This Verse In Other Editions
Study Matthew 9:7