The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 1 › Micah 1:2

Micah 1:2

Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, 2 sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, 1 ili Bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, 2 Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. 1 Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Hear, all ye people; hearken, O earth, and all that therein is: and let the Lord GOD be witness against you, the Lord from his holy temple.

In Context

1Neno la Bwana lilimjia Mika, Mmoreshethi, wakati wa utawala wa Yothamu, Ahazi na Hezekia, wafalme wa Yuda; ufunuo aliouona kuhusu Samaria na Yerusalemu. 1

3Tazama! Bwana anakuja kutoka mahali pake; 2 anashuka na kukanyaga 2 mahali palipoinuka juu pa dunia. 1

Read all of Micah 1

Cross References

1 Kings 22:28Mikaya akasema, “Kama utarudi salama, basi Bwana hajanena kupitia kwangu.” Kisha akaongeza kusema, “Zingatieni maneno yangu, enyi watu wote!” 1 Ahabu Auawa Ramoth-Gileadi (2 Nyakati 18:28-34)

Psalms 24:1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, 2 ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 1

Psalms 49:1Sikieni haya, enyi mataifa yote, 2 sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii. 1

Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1

Psalms 50:12Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, 2 kwa maana ulimwengu ni wangu, 2 pamoja na vyote vilivyomo ndani yake. 1

Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 1:1Micah 1Micah 1:3 →