The Bible Software
bible.softwareMikaMika 7 › Mika 7:10

Mika 7:10

Kisha adui yangu ataliona 2 naye atafunikwa na aibu, 1 yule aliyeniambia, 2 “Yu wapi Bwana Mungu wako?” 1 Macho yangu yataona kuanguka kwake, 2 hata sasa atakanyagwa chini ya mguu 2 kama tope barabarani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then she that is mine enemy shall see it, and shame shall cover her which said unto me, Where is the LORD thy God? mine eyes shall behold her: now shall she be trodden down as the mire of the streets.

In Context

9Kwa sababu nimetenda dhambi dhidi yake, 2 nitabeba ghadhabu ya Bwana, 1 mpaka atakaponitetea shauri langu 2 na kuithibitisha haki yangu. 1 Atanileta nje kwenye mwanga, 2 nami nitaiona haki yake. 1

11Siku ya kujenga kuta zako itawadia, 2 siku ya kupanua mipaka yako. 1

Read all of Mika 7

Cross References

Joshua 7:9Wakanaani na watu wengine wa nchi watasikia habari hii, nao watatuzunguka na kutufutilia jina letu duniani. Utafanya nini basi kwa ajili ya jina lako mwenyewe lililo kuu?”

2 Kings 9:33Yehu akasema, “Mtupeni huyo mwanamke chini!” Kwa hiyo wakamtupa chini, nayo baadhi ya damu yake ikatapanyika ukutani na nyingine juu ya farasi walipokuwa wakimkanyaga kwa miguu yao.

Psalms 35:26Wote wanaofurahia dhiki yangu 2 waaibishwe na wachanganyikiwe; 1 hao wanaojiinua dhidi yangu 2 wavikwe aibu na dharau. 1

Psalms 42:10Mifupa yangu inateseka kwa maumivu makali 2 adui zangu wanaponidhihaki, 1 wakiniambia mchana kutwa, 2 “Yuko wapi Mungu wako?” 1

Psalms 79:10Kwa nini mataifa waseme, 2 “Yuko wapi Mungu wenu?” 1 Mbele ya macho yetu, 2 dhihirisha kati ya mataifa 1 kwamba unalipiza kisasi damu iliyomwagwa 2 ya watumishi wako. 1

Psalms 109:29Washtaki wangu watavikwa fedheha, 2 na kufunikwa na aibu kama joho. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mika 7:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mika 7:9Mika 7Mika 7:11 →