The Bible Software
bible.softwareMicahMicah 7 › Micah 7:8

Micah 7:8

Usifurahie msiba wangu, ee adui yangu! 2 Ingawa nimeanguka, nitainuka. 1 Japo ninaketi gizani, 2 Bwana atakuwa nuru yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Rejoice not against me, O mine enemy: when I fall, I shall arise; when I sit in darkness, the LORD shall be a light unto me.

In Context

7Lakini mimi, namtazama Bwana kwa matumaini, 2 namngoja Mungu Mwokozi wangu; 2 Mungu wangu atanisikia mimi. 1 Israeli Atainuka 1

9Kwa sababu nimetenda dhambi dhidi yake, 2 nitabeba ghadhabu ya Bwana, 1 mpaka atakaponitetea shauri langu 2 na kuithibitisha haki yangu. 1 Atanileta nje kwenye mwanga, 2 nami nitaiona haki yake. 1

Read all of Micah 7

Cross References

Job 31:29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, 2 au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 1

Psalms 20:8Wao wameshushwa chini na kuanguka, 2 bali sisi tunainuka na kusimama imara. 1

Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1

Psalms 35:24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu, 2 sawasawa na haki yako; 2 usiwaache wakusimange. 1

Psalms 37:24ajapojikwaa, hataanguka, 2 kwa maana Bwana 2 humtegemeza kwa mkono wake. 1

Psalms 41:10Lakini wewe, Ee Bwana, nihurumie, 2 ukaniinue tena, ili niweze kuwalipiza kisasi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Micah 7:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Micah 7:7Micah 7Micah 7:9 →