Nehemia 10:7
Meshulamu, Abiya, Miyamini, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Danieli, Ginethoni, Baruku, 1
8Maazia, Bilgai na Shemaya. 1 Hawa ndio waliokuwa makuhani.
Cross References
Nehemiah 3:6Lango la Yeshana lilikarabatiwa na Yoyada mwana wa Pasea, na Meshulamu mwana wa Besodeya. Waliweka boriti zake, na wakaweka milango, makomeo na nondo.
Nehemiah 11:11Seraya mwana wa Hilkia, mwana wa Meshulamu, mwana wa Sadoki, mwana wa Merayothi, mwana wa Ahitubu, msimamizi katika nyumba ya Mungu,
Nehemiah 12:13wa jamaa ya Ezra, Meshulamu; 1 wa jamaa ya Amaria, Yehohanani; 1
Nehemiah 12:25Mabawabu waliokuwa wakilinda kwenye malango ya ghala ni: Matania, Bakbukia, Obadia, Meshulamu, Talmoni na Akubu.