Nehemia 11:32
katika Anathothi, Nobu na Anania,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And at Anathoth, Nob, Ananiah,
In Context
31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake,
33katika Hazori, Rama na Gitaimu,
Cross References
1 Samuel 21:1Daudi akaenda Nobu, kwa Ahimeleki kuhani. Ahimeleki akatetemeka alipokutana naye, akamuuliza, “Kwa nini uko peke yako? Kwa nini hukufuatana na mtu yeyote?”
1 Samuel 22:19Pia akaupiga Nobu kwa upanga, mji wa makuhani, wakiwemo wanaume na wanawake, watoto wadogo na wale wanyonyao, ngʼombe wake, punda na kondoo.
Isaiah 10:30Piga kelele, ee Binti Galimu! 2 Sikiliza, ee Laisha! 2 Maskini Anathothi! 1
Jeremiah 1:1Maneno ya Yeremia mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani katika mji wa Anathothi, katika nchi ya Benyamini.