Nehemia 12:16
wa jamaa ya Ido, Zekaria; 1 wa jamaa ya Ginethoni, Meshulamu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of Iddo, Zechariah; of Ginnethon, Meshullam;
In Context
15wa jamaa ya Harimu, Adna; 1 wa jamaa ya Meremothi, Helkai; 1
17wa jamaa ya Abiya, Zikri; 1 wa jamaa ya Miniamini na ya Maazia, Piltai; 1
Cross References
Zechariah 1:1Katika mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario, neno la Bwana lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia, mwana wa Ido, kusema: