bible.software › Nehemia › Nehemia 12 › Nehemia 12:28
Nehemia 12:28
Pia waimbaji walikusanywa pamoja kutoka maeneo yaliyozunguka Yerusalemu, kutoka vijiji vya Wanetofathi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of the singers gathered themselves together, both out of the plain country round about Jerusalem, and from the villages of Netophathi;
In Context
27Wakati wa kuwekwa wakfu ukuta wa Yerusalemu, Walawi walitafutwa kule walikokuwa wakiishi, nao wakaletwa Yerusalemu kuadhimisha kwa shangwe huko kuweka wakfu kwa nyimbo za shukrani na kwa uimbaji wakitumia matoazi, vinubi na zeze.
29kutoka Beth-Gilgali, na kutoka eneo la Geba na Azmawethi, kwa kuwa waimbaji walikuwa wamejijengea vijiji kuzunguka Yerusalemu.
Read all of Nehemia 12
Cross References
1 Chronicles 2:54Wazao wa Salma walikuwa: 2 Bethlehemu, Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, nusu ya Wamanahathi, Wasori,
Nehemiah 3:22Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji.
Nehemiah 7:26watu wa Bethlehemu na Netofa 2 188 1
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 12:28