Nehemia 12:40
Kisha yale makundi mawili ya waimbaji yaliyoshukuru yakachukua nafasi zao katika nyumba ya Mungu. Nami pia nikafanya hivyo, pamoja na nusu ya maafisa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Nehemiah 12:31Niliwaagiza viongozi wa Yuda wapande juu ya ukuta. Pia niliagiza makundi mawili makubwa ya waimbaji waimbe nyimbo za kumshukuru Mungu. Kundi moja lilipanda juu ya ukuta upande wa kuume, kuelekea Lango la Samadi.
Psalms 47:6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, 2 mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 1