bible.software › Nehemia › Nehemia 3 › Nehemia 3:2
Nehemia 3:2
Watu wa Yeriko wakajenga sehemu zilizopakana nao, naye Zakuri mwana wa Imri akajenga karibu nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And next unto him builded the men of Jericho. And next to them builded Zaccur the son of Imri.
In Context
1Eliashibu kuhani mkuu na makuhani wenzake walikwenda kufanya kazi na kulijenga upya Lango la Kondoo. Waliliweka wakfu na kuweka milango mahali pake, wakajenga hadi kufikia Mnara wa Mia, ambao waliuweka wakfu hadi Mnara wa Hananeli.
3Lango la Samaki lilijengwa upya na wana wa Hasenaa. Waliweka boriti zake, na wakaweka milango yake na makomeo na nondo.
Read all of Nehemia 3
Cross References
Ezra 2:34wazao wa Yeriko 2 345 1
Nehemiah 10:12Zakuri, Sherebia, Shebania, 1
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 3:2