bible.software › Nehemia › Nehemia 3 › Nehemia 3:27
Nehemia 3:27
Baada yao, watu wa Tekoa walikarabati sehemu nyingine, kuanzia mnara mkubwa utokezao hadi ukuta wa Ofeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
After them the Tekoites repaired another piece, over against the great tower that lieth out, even unto the wall of Ophel.
In Context
26na watumishi wa Hekalu walioishi juu ya kilima cha Ofeli walikarabati hadi kufikia mkabala na Lango la Maji, kuelekea mashariki na ule mnara uliojitokeza.
28Makuhani walifanya ukarabati juu ya Lango la Farasi, kila mmoja mbele ya nyumba yake.
Read all of Nehemia 3
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 3:27