The Bible Software
bible.software › Nehemia › Nehemia 4 › Nehemia 4:5

Nehemia 4:5

Usiusitiri uovu wao, wala usifute dhambi zao mbele zako, kwa kuwa wamewatukana wajenzi mbele.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And cover not their iniquity, and let not their sin be blotted out from before thee: for they have provoked thee to anger before the builders.

In Context

4Ee Mungu wetu, utusikie, kwa kuwa tumedharauliwa. Warudishie matukano yao kwenye vichwa vyao wenyewe. Uwatoe ili wawe nyara katika nchi ya waliowateka.

6Basi tuliujenga upya ukuta mpaka wote ukafikia nusu ya kimo chake, kwa kuwa watu walifanya kazi kwa moyo wote.

Read all of Nehemia 4

Cross References

Psalms 51:1Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, 1 kwa kadiri ya huruma yako kuu, 2 uyafute makosa yangu. 1

Psalms 59:5Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli! 2 Zinduka uyaadhibu mataifa yote, 2 usionyeshe huruma kwa wasaliti. 1

Psalms 109:14Maovu ya baba zake na yakumbukwe 2 mbele za Bwana, 1 dhambi ya mama yake 2 isifutwe kamwe. 1

Isaiah 43:25“Mimi, naam mimi, ndimi nizifutaye dhambi zako, 2 kwa ajili yangu mwenyewe, 2 wala sizikumbuki dhambi zako tena. 1

Jeremiah 18:23Lakini unajua, Ee Bwana, 2 hila zao zote za kuniua. 1 Usiyasamehe makosa yao 2 wala usifute dhambi zao 2 mbele za macho yako. 1 Wao na waangamizwe mbele zako; 2 uwashughulikie wakati wa hasira yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nehemia 4:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nehemia 4:4Nehemia 4Nehemia 4:6 →