Nehemia 5:10
Mimi na ndugu zangu na watu wangu tunawakopesha watu fedha na nafaka. Lakini jambo hili la kutoza riba likome!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 22:25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.
Nehemiah 5:7Nikayatafakari katika akili yangu, nikiwalaumu wakuu na maafisa. Nikawaambia, “Mnawaonea ndugu zenu kwa kuwatoza riba!” Basi nikaitisha mkutano mkubwa ili kuwashughulikia
Psalms 15:5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba, 2 na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia. 1 Mtu afanyaye haya 2 kamwe hatatikisika.
Ezekiel 18:8Hakopeshi kwa riba 2 wala hajipatii faida ya ziada. 1 Huuzuia mkono wake usifanye mabaya, 2 naye huhukumu kwa haki kati ya mtu na mtu. 1
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1
1 Corinthians 9:12Kama wengine wana haki ya kupata msaada kutoka kwenu, isingepasa tuwe na haki hiyo hata zaidi? Lakini sisi hatukutumia haki hii. Kinyume chake, tunavumilia kila kitu ili tusije tukazuia Injili ya Kristo.