Nehemia 5:19
Unikumbuke kwa fadhili, Ee Mungu wangu, kwa yote niliyofanya kwa ajili ya watu hawa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Think upon me, my God, for good, according to all that I have done for this people.
In Context
Cross References
Genesis 40:14Lakini wakati mambo yatakapokuwia mazuri, unikumbuke, unifanyie wema, useme mema juu yangu kwa Farao ili niondoke huku gerezani.
Nehemiah 13:22Kisha nikawaamuru Walawi kujitakasa na kwenda kulinda malango ili kutunza Sabato iwe takatifu. Ee Mungu wangu, unikumbuke kwa ajili ya hili pia, nawe unionyeshe wema wako sawasawa na upendo wako mkuu.
Psalms 18:23Nimekuwa sina hatia mbele zake, 2 nami nimejilinda nisitende dhambi. 1
Psalms 40:17Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; 2 Bwana na anifikirie. 1 Wewe ndiwe msaada wangu na Mwokozi wangu; 2 Ee Mungu wangu, usikawie.
Jeremiah 29:11Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.