The Bible Software
bible.softwareNehemiahNehemiah 6 › Nehemiah 6:13

Nehemiah 6:13

Alikuwa ameajiriwa kunitisha ili kwa kufanya jambo hili nitende dhambi, kisha waweze kuniharibia jina langu na kuniaibisha.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore was he hired, that I should be afraid, and do so, and sin, and that they might have matter for an evil report, that they might reproach me.

In Context

12Nilitambua kwamba Mungu hakumtuma, bali alitabiri dhidi yangu kwa sababu Tobia na Sanbalati walikuwa wamemwajiri.

14Ee Mungu wangu, wakumbuke Tobia na Sanbalati kwa sababu ya yale waliyotenda. Pia kumbuka nabii mke Noadia na manabii wengine ambao wamekuwa wakijaribu kunitisha. 1 Kukamilika Kwa Ukuta

Read all of Nehemiah 6

Cross References

Proverbs 22:1Heri kuchagua jina jema kuliko utajiri mwingi, 2 kuheshimiwa ni bora kuliko fedha au dhahabu. 1

Ecclesiastes 7:1Afadhali sifa nzuri kuliko manukato safi, 2 nayo siku ya kufa kuliko ya kuzaliwa. 1

Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1

Jeremiah 1:17“Jiandae! Simama useme chochote nitakachokuamuru. Usiwaogope, la sivyo nitakufanya uwaogope wao.

Jeremiah 20:10Ninasikia minongʼono mingi, 2 “Hofu iko pande zote! 2 Mshtakini! Twendeni tumshtaki!” 1 Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze, 2 wakisema, 1 “Labda atadanganyika; 2 kisha tutamshinda 2 na kulipiza kisasi juu yake.” 1

Ezekiel 13:17“Sasa, mwanadamu, kaza uso wako dhidi ya binti za watu wako wanaotabiri mambo kutoka mawazo yao wenyewe. Tabiri dhidi yao

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nehemiah 6:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nehemiah 6:12Nehemiah 6Nehemiah 6:14 →