Nehemia 6:4
Mara nne walinitumia ujumbe wa namna iyo hiyo, na kila mara niliwapa jibu lile lile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet they sent unto me four times after this sort; and I answered them after the same manner.
In Context
Cross References
Judges 16:10Ndipo Delila akamwambia Samsoni, “Umenifanyia mzaha na kuniambia uongo. Tafadhali niambie waweza kufungwa kwa kitu gani?”
Proverbs 7:21Kwa maneno laini yule mwanamke akampotosha; 2 alimshawishi kwa maneno yake laini. 1
Luke 18:5lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ ”
Galatians 2:5hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.