Nehemia 7:29
watu wa Kiriath-Yearimu, Kefira na Beerothi 2 743 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The men of Kirjath-jearim, Chephirah, and Beeroth, seven hundred forty and three.
In Context
28watu wa Beth-Azmawethi 2 42 1
30watu wa Rama na Geba 2 621 1
Cross References
Joshua 9:17Ndipo wana wa Israeli wakasafiri na siku ya tatu wakafika kwenye miji yao ya Gibeoni, Kefira, Beerothi na Kiriath-Yearimu.
Judges 18:12Walipokuwa wakisafiri wakapiga kambi huko Kiriath-Yearimu katika Yuda. Hii ndiyo sababu sehemu ya magharibi ya Kiriath-Yearimu inaitwa Mahane-Dani + 18:12 Mahane-Dani maana yake Kambi ya Dani. mpaka leo.