bible.software › Nehemia › Nehemia 7 › Nehemia 7:3
Nehemia 7:3
Nikawaambia, “Malango ya Yerusalemu yasifunguliwe mpaka jua litakapokuwa limepanda. Walinzi wa malango wakiwa bado kwenye zamu, waamuru wafunge milango na waweke makomeo. Pia wateueni wenyeji wa Yerusalemu wawe walinzi, kila mmoja kwenye lindo lake, na wengine karibu na nyumba zao wenyewe.” 1 Orodha Ya Waliorudi Toka Uhamishoni (Ezra 2:1-70)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I said unto them, Let not the gates of Jerusalem be opened until the sun be hot; and while they stand by, let them shut the doors, and bar them: and appoint watches of the inhabitants of Jerusalem, every one in his watch, and every one to be over against his house.
In Context
2Nikamweka Hanani ndugu yangu kuwa kiongozi wa Yerusalemu, pamoja na Hanania jemadari wa ngome, kwa kuwa alikuwa mtu mwadilifu na mwenye kumcha Mungu kuliko watu wengine.
4Mji ulikuwa mkubwa, tena wenye nafasi nyingi, lakini walikuwepo watu wachache ndani yake, nazo nyumba zilikuwa bado ni magofu.
Read all of Nehemia 7
Cross References
Nehemiah 3:28Makuhani walifanya ukarabati juu ya Lango la Farasi, kila mmoja mbele ya nyumba yake.
Psalms 127:1Bwana asipoijenga nyumba, 2 wajengao hufanya kazi bure. 1 Bwana asipoulinda mji, 2 walinzi wakesha bure. 1
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 7:3