Nehemia 7:67
tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 245.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
66Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;
68Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245
Cross References
Ezra 2:65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200.
Jeremiah 27:7Mataifa yote yatamtumikia yeye, pamoja na mwanawe na mwana wa mwanawe, hadi wakati wa nchi yake utakapowadia, kisha mataifa mengi na wafalme wenye nguvu nyingi watamshinda.