bible.software › Nehemia › Nehemia 7 › Nehemia 7:73
Nehemia 7:73
Makuhani, Walawi, mabawabu, waimbaji na watumishi wa Hekalu, pamoja na baadhi ya watu wengine na Waisraeli waliosalia waliishi katika miji yao wenyewe. 1 Ezra Asoma Sheria Ilipotimia miezi saba, nao Waisraeli wakiwa tayari wanaishi katika miji yao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the priests, and the Levites, and the porters, and the singers, and some of the people, and the Nethinims, and all Israel, dwelt in their cities; and when the seventh month came, the children of Israel were in their cities.
In Context
72Jumla ya matoleo ya watu wengine yalikuwa ni darkoni 20,000 za dhahabu, mane 2,000 za fedha, na mavazi sitini na saba ya makuhani.
Read all of Nehemia 7
This Verse In Other Editions
Study Nehemia 7:73