bible.software › Numbers › Numbers 1 › Numbers 1:17
Numbers 1:17
Mose na Aroni wakawachukua wanaume hao waliokuwa wamepewa majina yao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses and Aaron took these men which are expressed by their names:
In Context
16Hawa walikuwa wanaume walioteuliwa kutoka jumuiya, viongozi wa makabila ya baba zao. Walikuwa wakuu wa koo za Israeli.
18wakaita jumuiya yote pamoja katika siku ya kwanza ya mwezi wa pili. Watu wakaonyesha nasaba zao kwa koo zao na jamaa zao, nao wanaume waliokuwa na miaka ishirini au zaidi waliorodheshwa kwa majina, mmoja mmoja,
Read all of Numbers 1
Cross References
Numbers 1:5Haya ndiyo majina ya wanaume watakaowasaidia: 1 “kutoka Reubeni, ni Elisuri mwana wa Shedeuri; 1
Revelation 7:4Ndipo nikasikia idadi ya wale waliotiwa muhuri: yaani 144,000 kutoka makabila yote ya Israeli. 1
This Verse In Other Editions
Study Numbers 1:17