Hesabu 11:15
Kama hivi ndivyo unavyonitendea, uniue sasa hivi, yaani kama nimepata kibali machoni pako, wala usiniache nione maangamizi yangu mwenyewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Mimi siwezi kuwabeba watu hawa wote peke yangu, mzigo ni mzito sana kwangu.
Cross References
Exodus 32:32Lakini sasa nakusihi, wasamehe dhambi yao; lakini kama sivyo, basi nifute kutoka kwenye kitabu ulichoandika.”
Job 3:20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, 2 na hao wenye uchungu kupewa uhai, 1
Job 7:15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, 2 kuliko huu mwili wangu. 1
Jeremiah 20:18Kwa nini basi nilitoka tumboni 2 ili kuona taabu na huzuni, 2 na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
Jonah 4:8Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Philippians 1:20Ninatarajia kwa shauku kubwa na kutumaini kwamba sitaaibika kwa njia yoyote, bali nitakuwa na ujasiri wa kutosha ili sasa kama wakati mwingine wowote, Kristo atukuzwe katika mwili wangu, ikiwa ni kwa kuishi au kwa kufa.