The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 12 › Numbers 12:16

Numbers 12:16

Baada ya hayo, watu waliondoka Haserothi, wakapiga kambi katika Jangwa la Parani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And afterward the people removed from Hazeroth, and pitched in the wilderness of Paran.

In Context

15Kwa hiyo Miriamu akafungiwa nje ya kambi kwa siku saba, nao watu hawakuendelea na safari mpaka aliporudishwa kambini.

Read all of Numbers 12

Cross References

Numbers 10:12Ndipo Waisraeli wakaondoka kutoka Jangwa la Sinai wakasafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine mpaka wingu lilipotua katika Jangwa la Parani.

Numbers 13:3Hivyo kwa agizo la Bwana Mose akawatuma kutoka Jangwa la Parani. Wote walikuwa viongozi wa Waisraeli.

Numbers 33:18Wakaondoka Haserothi na kupiga kambi huko Rithma. 1

Habakkuk 3:3Mungu alitoka Temani, 2 yeye Aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani. 1 Utukufu wake ulifunika mbingu, 2 na sifa zake zikaifunika dunia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 12:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 12:15Numbers 12