Numbers 13:9
kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the tribe of Benjamin, Palti the son of Raphu.
In Context
8kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni; 1
10kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi, 1
Cross References
Deuteronomy 7:18Lakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi Bwana Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Deuteronomy 31:6Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa Bwana Mungu wenu anakwenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi.”