Numbers 14:17
“Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now, I beseech thee, let the power of my Lord be great, according as thou hast spoken, saying,
In Context
16‘ Bwana alishindwa kuwaingiza watu hawa katika nchi aliyowaahidi kwa kiapo; hivyo akawaua jangwani.’
Cross References
Micah 3:8Lakini kuhusu mimi, nimejazwa nguvu, 2 nimejazwa Roho wa Bwana, 2 haki na uweza, 1 kumtangazia Yakobo kosa lake, 2 na Israeli dhambi yake. 1
Matthew 9:8Makutano walipoyaona haya, wakajawa na hofu ya Mungu, wakamtukuza Mungu ambaye alikuwa ametoa mamlaka kama haya kwa wanadamu. 1 Kuitwa Kwa Mathayo (Marko 2:13-17; Luka 5:27-32)