Numbers 14:23
hakuna hata mmoja wao atakayeona nchi niliyowaahidi baba zao kwa kiapo. Hakuna hata mmoja ambaye amenidharau atakayeiona.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:11‘Kwa kuwa hawakunifuata kwa moyo wote, hakuna mtu yeyote mwenye miaka ishirini au zaidi ambaye alikuja kutoka Misri atakayeona nchi niliyoahidi kwa kiapo kwa Abrahamu, Isaki na Yakobo;
Nehemiah 9:23Uliwafanya wana wao kuwa wengi kama nyota za angani, nawe ukawaleta katika nchi ambayo uliwaambia baba zao kuingia na kuimiliki.
Psalms 106:26Kwa hiyo akaapa kwa mkono ulioinuliwa 2 kwamba atawafanya waanguke jangwani, 1
Ezekiel 20:15Tena kwa mkono ulioinuliwa nikawaapia huko jangwani kwamba nisingewaingiza katika nchi niliyokuwa nimewapa, yaani, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi nzuri kuliko zote,
Hebrews 4:3Sasa sisi ambao tumeamini tunaingia katika ile raha, kama vile Mungu alivyosema, 1 “Kwa hiyo nikaapa katika hasira yangu, 1 ‘Kamwe hawataingia rahani mwangu.’ ” Lakini kazi yake ilikamilika tangu kuumbwa kwa ulimwengu.