The Bible Software
bible.softwareNumbersNumbers 14 › Numbers 14:39

Numbers 14:39

Mose alipotoa taarifa hii kwa Waisraeli wote, waliomboleza kwa uchungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Moses told these sayings unto all the children of Israel: and the people mourned greatly.

In Context

38Miongoni mwa watu waliokwenda kuipeleleza hiyo nchi, ni Yoshua mwana wa Nuni, na Kalebu mwana wa Yefune peke yao waliosalia.

40Mapema asubuhi siku iliyofuata walipanda juu kuelekea kwenye nchi ya vilima virefu, wakasema, “Tumetenda dhambi. Tutakwea mpaka mahali Bwana alipotuahidi.”

Read all of Numbers 14

Cross References

Proverbs 19:3Upumbavu wa mtu mwenyewe huharibu maisha yake 2 hata hivyo moyo wake humkasirikia Bwana. 1

Matthew 8:12Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Numbers 14:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Numbers 14:38Numbers 14Numbers 14:40 →