bible.software › Numbers › Numbers 15 › Numbers 15:13
Numbers 15:13
“ ‘Kila mmoja ambaye ni mzawa ni lazima afanye vitu hivi kwa njia hii hapo aletapo sadaka ya kuteketezwa kwa moto kama harufu nzuri inayompendeza Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All that are born of the country shall do these things after this manner, in offering an offering made by fire, of a sweet savour unto the LORD.
In Context
12Fanyeni hivi kwa ajili ya kila mmoja, kwa kadiri ya wingi wa mtakavyoandaa.
14Kwa vizazi vijavyo, wakati wowote mgeni au mtu mwingine yeyote anayeishi miongoni mwenu aletapo sadaka ya kuteketezwa kuwa harufu nzuri ya kumpendeza Bwana, ni lazima afanye sawasawa kabisa na jinsi mnavyofanya ninyi.
Read all of Numbers 15
This Verse In Other Editions
Study Numbers 15:13