Numbers 16:21
“Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Separate yourselves from among this congregation, that I may consume them in a moment.
In Context
20Bwana akamwambia Mose na Aroni,
Cross References
Genesis 19:13kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa Bwana dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.”
Exodus 32:10Sasa niache ili hasira yangu ipate kuwaka dhidi yao, nami nipate kuwaangamiza. Kisha nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa.”
Numbers 14:12Nitawapiga kwa tauni na kuwaangamiza, lakini nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa lenye nguvu kuliko wao.”
Numbers 16:45“Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka chini kifudifudi.
Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1
Jeremiah 5:16Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, 2 wote ni mashujaa hodari wa vita. 1