bible.software › Numbers › Numbers 16 › Numbers 16:8
Numbers 16:8
Pia Mose akamwambia Kora, “Enyi Walawi! Sasa nisikilizeni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Moses said unto Korah, Hear, I pray you, ye sons of Levi:
In Context
7kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Bwana. Mtu ambaye Bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!”
9Haiwatoshi ninyi kwamba Mungu wa Israeli amewateua ninyi kutoka kusanyiko lote la Kiisraeli, na kuwaleta karibu naye mpate kufanya kazi kwenye Maskani ya Bwana, na kusimama mbele ya kusanyiko ili kuwahudumia?
Read all of Numbers 16
Cross References
Judges 17:12Hivyo Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.
This Verse In Other Editions
Study Numbers 16:8