Numbers 17:6
Hivyo Mose akasema na Waisraeli, nao viongozi wao wakampa fimbo kumi na mbili, fimbo moja kwa ajili ya kila kabila la baba zao, nayo fimbo ya Aroni ikiwa miongoni mwa hizo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Mose akaziweka hizo fimbo mbele za Bwana ndani ya Hema la Ushuhuda.
Cross References
Numbers 14:2Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, nalo kusanyiko lote wakawaambia, “Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa!
Ezekiel 37:20Inua mbele ya macho yao zile fimbo ulizoziandika