Numbers 18:16
Watakapokuwa na umri wa mwezi mmoja, ni lazima mtawakomboa kwa bei ya ukombozi iliyowekwa, kwa shekeli tano + 18:16 Shekeli tano za fedha ni sawa na gramu 55. za fedha, kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, yenye uzito wa gera ishirini. + 18:16 Gera 20 ni sawa na gramu 55.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 30:13Kila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli, + 30:13 Nusu shekeli ni sawa na gramu 6. kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. + 30:13 Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12. Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.
Leviticus 27:25Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, + 27:25 Shekeli moja ya mahali patakatifu ni sawa na gramu 11. gera ishirini kwa shekeli.
Ezekiel 45:12Shekeli moja itakuwa gera ishirini. + 45:12 Gera 20 ni sawa na shekeli 1. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja. + 45:12 Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50. 1 Sadaka Na Siku Takatifu (Kutoka 12:1-20; Walawi 23:33-43)