Numbers 2:22
Kabila la Benyamini litafuata baada ya Manase. Kiongozi wa watu wa Benyamini ni Abidani mwana wa Gideoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kundi lake lina watu 32,200. 1
23Kundi lake lina watu 35,400. 1
Cross References
Numbers 1:11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; 1
Numbers 7:65maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gideoni.
Psalms 68:27Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza, 2 wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda, 2 hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali. 1