Numbers 2:25
Upande wa kaskazini kutakuwa na makundi ya kambi ya Dani, chini ya alama yao. Kiongozi wa watu wa Dani ni Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Kundi lake lina watu 62,700. 1
Cross References
Numbers 1:12kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai; 1
Numbers 7:71maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Ahiezeri mwana wa Amishadai.