Numbers 2:27
Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Kundi lake lina watu 62,700. 1
28Kundi lake lina watu 41,500. 1
Cross References
Numbers 1:13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani; 1
Numbers 7:77maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Pagieli mwana wa Okrani.