Numbers 2:31
Wanaume wote walio katika kambi ya Dani ni 157,600. Wao watakuwa wa mwisho kuondoka chini ya alama yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Kundi lake lina watu 53,400. 1
Cross References
Numbers 2:9Wanaume wote walio katika kambi ya Yuda, kufuatana na makundi yao, ni 186,400. Wao watatangulia kuondoka. 1
Numbers 2:24Wanaume wote walio katika kambi ya Efraimu kufuatana na makundi yao ni 108,100. Nao watakuwa nafasi ya tatu kuondoka. 1