Numbers 2:7
Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the tribe of Zebulun: and Eliab the son of Helon shall be captain of the children of Zebulun.
In Context
6Kundi lake lina watu 54,400. 1
8Kundi lake lina watu 57,400. 1
Cross References
Numbers 1:30Kutoka wazao wa Zabuloni: 2 Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.
Numbers 7:29maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Eliabu mwana wa Heloni.